Kwa
mujibu wa mtandao maarufu barani Afrika wa africasacountry.com Filamu
hizi zimo katika list ya 10 bora kwasababu ni movie zilizo wekezwa kwa
budget kubwa na hatimaye kuwa bora na kupata soko kubwa barani Ulaya na
Marekani.
Zikiwa
katika mitindo, mandhari na maudhui tofautitofauti Filamu hizi zimeweza
pia kuoneshwa katika majumba makubwa ya Sinema duniani.
Lakini
mtandao huu umetoa nafasi kwa wadau wenyekipingamizi kuweka mambo wazi,
kama kuna Filamu iliyo bora zaidi ya hizi..,
Nairobi Half Life (Kenya)
Dear Mandela (South Africa)
The Curse (Morocco)
When China Met Africa (UK)
The films of the Mosireen Collective (Egypt)
Kempinski (Mali)
The 9 Muses (UK)
Tey (Senegal)
Otelo Burning (South Africa)
Cursed Be The Phosphate (Tunisia).