
Rapper aliyewahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo ‘Sauti za Gharama’
D-Knob amesema katika show yake aliyoifanya siku ya Christmas palitokea
fujo kubwa kiasi cha kudaiwa kusababisha kifo cha
mtu mmoja.
Kupitia Facebook, D-Knob ameandika:
Juzi 25, december was having a show Ukumbi wa NJombe Green Park
Kinyerezi huko. Response ilikuwa poa ila mwisho likatokea bonge moja la
fujo.
Nashukuru mungu niliondoka salama but jana nimepewa habari kuwa
kuna mtu alipoteza maisha na wengi kuumia, na kiukweli inanisikitisha.
Pole kwa waliofiwa na walioumia. My heart is with u all. Real sorry 4 what happened.Fujo Miyeyusho