Angalia PICHA ...TUKIO la FUMANIZI LA WALIO GANDANA WAKIFANYA MAPENZI TEMEKE
UMATI wa watu wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam , wakiwa
na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana
wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani
Temeke.
P0LICE wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Temeke
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao