Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam,Sheikh Issa Ponda leo
amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
kwa madai mbalimbali pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia
eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe
jijini Dar es Salaam,
kuwashawishi
Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu
na Makazi. Hali ya ulinzi imeimarisha katika viunga vya Mahakama
hiyo. Habari kamili kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na
Picha zitawajia hivi punde. HABARI KWA MSAADA WA HABARI MSETO BLOG