Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini,Sheikh
Issa Ponda (katikati) akiwa na wenzake 38 kwenye Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam mapema leo walipofika kusomewa
mastaka ya makosa yao mbali mbali yakiwemo ya uchochezi wa kidini.Katibu amepandishwa kizimbani leo pamoja na wenzake 50 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu kuvamia Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam, kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya Watu na Makazi.

Baadhi ya
Kina Mama wanaounganishwa na Mashtaka hayo pamoja na Sheikh
Ponda,wakijificha ili wasipigwe picha wakati wakiwa kwenye chumba cha
Mahakama leo.
Wanahabari wakitafuta taswiza za Sheikh Ponda wakati akiondolewa Mahakamani hapo.
chanzo-fadher kidevu