ONDOA UTATA HUU wa jana,HILI ni GOLI au SIO GOLI .Everton 2-2 Newcastle..ANGALIA PICHA
Everton
2 Newcastle United 2. Mpira ulimalizika kwa utata baada ya refa kusema
mpira haukuvuka mstari na hivyo kutowapa Everton goli. Je makosa kama
haya yanaweza kupatiwa ufumbuzi? Angalia picha, umevuka au haukuvuka?
No comments:
Post a Comment