Peter Okoye akiwa ameachia pozi nje ya jumba lao. Yeye ndiye aliyeweka picha hizi kwenye mtandao wa kijamii wa twitter. Mara zote Peter ndiye mwepesi kuujuza ulimwengu juu ya habari mpya za P.Square. Paul(pacha wake) ni mzito sana katika mambo ya kusosholaizi kwenye mitandao ya kijamii.
No comments:
Post a Comment