08 May 2012

HIVI NDO VYUO VIKUU 50 BORA AFRIKA. UDSM YAPOROMOKA.

Chuo Kikuu cha Dar es salaam maarufu kama mlimani(the hill) ambacho kwa miaka mingi kimekuwa kikiongoza kwa ubora ukilinganisha na vyuo vikuu vingine katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati licha ya kuwepo kwa vyuo vingine mashuhuri kama Chuo kikuu cha Nairobi nchini Kenya na Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda, huku pia kikiwa kinajitahidi kuwepo ndani ya vyuo 20 bora barani Afrika, safari hii kimekuwa nyuma ya Vyuo vikuu vya Makerere nchini Uganda na Nairobi nchini Kenya.
Kwa mujibu takwimu za mwaka 2012 za vyuo vikuu bora barani Afrika zitolewazo na vyanzo mbalimbali vimeonyesha udsm kutupwa mbali ukilinganisha na vyuo vingine katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Takwimu hizo zimekionyesha udsm kushika nafasi ya 16 katika vyuo vikuu bora barani Afrika huku Chuo Kikuu cha Nairobi cha nchini Kenya (UoN) kikishika nafasi ya 11 huku kikifuatiwa na Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda ambacho kimeshika nafasi ya 12 katika msimamo huo.
Baadhi ya watu wanadai sababu kubwa ya kuanguka huko ni taaluma ya chuoni hapo kushuka kutokana na kupungua kwa uwajibikaji pamoja na kutokuwa na miundombinu ya kutosha ukilinganisha na vyuo vingine na ile iliyopo kutofanyiwa marekebisho pale yanapohitajika kwani matatizo ya miundombinu ni makubwa na mengine ni ya muda mrefu hivyo watu wengi wenye nia thabiti ya kusoma na wenye kupenda elimu bora kukidharau na kuchagua vyuo vingine katika harakati zao za kuisaka elimu.
Hata hivyo pamoja na kuanguka huko lakini bado udsm kimeendelea kujitahidi kuwa kati ya vyuo 20 bora barani Afrika kikishika nafasi ya 16 kikiwa nyuma ya vyuo vikuu kutoka South Africa, Misri, Kenya, Uganda na Namibia pekee katika nchi zote Afrika.
Msimamo wa vyuo vikuu bora 100 barani Afrika:-
1 University of Cape Town South Africa
2 Universiteit Stellenbosch South Africa
3 Cairo University Egypt
4 University of Pretoria South Africa
5 University of the Witwatersrand South Africa
6 University of KwaZulu-Natal South Africa
7 University of South Africa South Africa
8 University of the Western Cape South Africa
9 Rhodes University South Africa
10 The American University in Cairo Egypt
11 University of Nairobi Kenya
12 Makerere University Uganda
13 Mansoura University Egypt

14 Polytechnic of Namibia Namibia
15 University of Dar es Salaam Tanzania
16 University of Ghana Ghana
17 University of Botswana Botswana

18 University of Johannesburg South Africa
19 Université de la Reunion Reunion
20 Ain Shams University Egypt
21 Université Cadi Ayyad Morocco
22 University of Khartoum Sudan
23 Cape Peninsula University of Technology South Africa
24 Al Akhawayn University Morocco
25 Université Cheikh Anta Diop Senegal
26 University of Mauritius Mauritius
27 Universidade Eduardo Mondlane Mozambique
28 Helwan University Egypt
29 Kwame Nkrumah University of Science and Technology Ghana
30 University of Ibadan Nigeria
31 Addis Ababa University Ethiopia
32 University of Benin Nigeria
33 Assiut University Egypt
34 University of Namibia Namibia
35 Mogadishu University Somalia
36 University of Zimbabwe Zimbabwe
37 University of Zambia Zambia
38 University of Lagos Nigeria
39 Presbyterian University College Ghana
40 University of Ilorin Nigeria
41 Nelson Mandela Metropolitan University South Africa
42 The Hubert Kairuki Memorial University Tanzania
43 Obafemi Awolowo University Nigeria
44 North-West University South Africa
45 Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène Algeria
46 Ahmadu Bello University Nigeria
47 Université Mentouri de Constantine Algeria
48 Strathmore University Kenya
49 Zagazig University Egypt
50 Universiteit van die Vrystaat South Africa
51 The German University in Cairo Egypt
52 Sudan University of Science and Technology Sudan
53 Tshwane University of Technology South Africa
54 Kenyatta University Kenya
55 Université d’Alger Algeria
56 Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen Algeria
57 Al-Azhar University Egypt
58 Tanta University Egypt
59 University of Jos Nigeria
60 Université Abdelmalek Essadi Morocco
61 Université de Batna Algeria
62 Université Mohammed V – Souissi Morocco
63 Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem Algeria
64 Université Djillali Liabes Algeria
65 Minoufiya University Egypt
66 Université Hassiba Ben Bouali de Chlef Algeria
67 Université Sidi Mohamed Ben Abdellah Morocco
68 MISR University for Science and Technology Egypt
69 Moi University Kenya
70 Université Saad Dahlab Blida Algeria
71 United States International University Kenya
72 Université d’Oran Algeria
73 University of Port Harcourt Nigeria
74 National University of Rwanda Rwanda
75 South Valley University Egypt
76 Université M’hamed Bouguerra de Boumerdes Algeria
77 Université Mohammed V – Agdal Morocco
78 University of Fort Hare South Africa
79 Durban University of Technology South Africa
80 Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology Kenya
81 Université de Nouakchott Mauritania
82 Central University of Technology South Africa
83 University of Limpopo South Africa
84 Université Badji Mokhtar de Annaba Algeria
85 University of Zululand South Africa
86 Mauritius Institute of Education Mauritius
87 Jimma University Ethiopia
88 Université de Ouagadougou Burkina Faso
89 École Nationale Supérieure en Informatique Algeria
90 Minia University Egypt
91 Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou Algeria
92 Université Amar Telidji Laghouat Algeria
93 Université Hassan II – Mohammedia Morocco
94 October 6 University Egypt
95 Université Hassan 1er Morocco
96 École du Patrimoine Africain Benin
97 Université Gaston Berger Senegal
98 Université des Sciences et de la Technologie d’Oran Algeria
99 Egerton University Kenya
100 Université d’Antananarivo Madagascar

source- views tz

3 comments:

  1. Daah!!! mbona INSTITUTE OF ACCOUNTANCY ARUSHA(IAA) Haipo aiseee!!!

    ReplyDelete
  2. Bongo vyuo viwili tu! inatisha

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname