01 April 2012

HAYA NDO MATOKEO YA UDIWANI KIWIRA CHADEMA YASHINDA

Matokeo Kamili ya Kiwila: Walio Jiandikisha walikuwa 11866 Kura zilizo pigwa zilikuwa 4341 kula zilizo haribika 24, Chadema 2621, CCM 1649, NCCR 33, CUF 13 hivyo Chadema wameshinda katika uchaguzi wa UDIWANI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname