22 February 2012

MSIMAMO NA KAULI YA ADILI MKWELA KUHUSU MAPATANO YA SUGU NA RUGE

Leo nafikiri wa Tanzania watakuwa wamekuwa wameshudia na mpaka serikali imetuskia na wanaharakati wote mmefanya kazi kubwa sana, studio na maisha ya wasanii yatakuwa poa, na tulichokosa sisi watoto wetu watakikuta, Hii ni vita itaendelea mpaka mfumo utavyokaa vizuri, Anti Virus with No Apology movement inaendelea" na na vinega wote hakuna ambae ataweza kuuza msimamo daima. Najua habari hii imewapa shock ila ni sign of victory...One love everyone..kinega4life

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname