Drama juu ya ujauzito wa Miss Tanzania 2006 na CEO wa Endless Fame, Mbongo Movie
Wema Sepetu bado inaendelea baada ya kutupia picha hizi kwenye account yake ya Instagram ambazo zinaonyesha ukubwa wa tumbo lake kwasasa.
Picha hizi zilipigwa kwenye uzinduzi wa video ya
Lupela yakwake
Alikiba mwishoni mwa weeek iliyoisha.
No comments:
Post a Comment