Utamaduni!
Mzazi mwenzake staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah
Hassan ‘Zari’, anadaiwa kumpeleka mwanaye Latiffah Nasibu ‘Tiffah’
(miezi 5) kijijini kwao Uganda ambako amefanyiwa tambiko la kimila huku
Diamond akiichomolea mbali safari hiyo, Ijumaa Wikienda lina kitu cha
kushika mkononi.
No comments:
Post a Comment