25 January 2016

UKAWA WAJIANDAA KUMPOKEA MEMBE ...WAFURAISHWA NA MATAMSHI ANAYO TOA SASA...

Benard Membe
UKAWA WAJIANDAA KUMPOKEA MEMBE ...WAFURAHISHWA NA MATAMSHI ANAYO TOA SASA.
WANACHAMA WA VYAMA VINAVYO UNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)WAMEANZA KUPENDEZWA NA KAULI ZINAZO TOLEWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ZAMANI NDUGU BENARD MEMBE....HIVI KARIBUNI MEMBE ALITOA KAULI ZILIZO ONEKANA KUWAUDHI WANACHAMA WA CCM NA BAADHI YA JUMUIYA ZA CHAMA HICHO KUAMUA KUTOA KALIPIO KALI JUU YA KAULI ZAKE.
WAKATI HUO HUO WANACHAMA WATOKANAO NA UKAWA WAKISEMA WAKO TAYARI KUMPOKEA ENDAPO ATAKIHAMA CHAMA CHA CCM AU AKIFUKUZWA.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname