MBUNGE wa zamani wa Kahama kwa tiketi ya CCM kabla ya kuhamia
Chadema,James Lembel ameibuka na kudai kuwa haikuwa na maana kwa Rais
Magufuli kumtembelea Waziri Mkuu wa zamani Fredick Sumaye aliyelazwa
katika Hospitali ya Muhimbili wakati alikuwa katika uangalizi mzuri
zaidi wa kidaktari tena akiwa anapatiwa huduma zote muhimu.
Badala yake,Lembeli ambaye alishindwa vibaya katika kinyang'anyiro cha
kuwania Ubunge katika Jimbo la Kahama Mjini.amesema kuwa ni vema Rais
Magufuli angeenda kuwajulia hali wahanga wa bomoa bomoa ili kujua hali
zao na jinsi ya kjuwasaidia.
Ni vema kuona mgonjwa, ila ana wauguzi na kitanda kizuri. Inaleta maana zaidi kutembelea waliovunjiwa nyumba na dola ili kuona wanapolala kwa sasa na kuwashika mkono.
Posted by James Lembeli - Chadema on Monday, January 11, 2016
No comments:
Post a Comment