HAKIKA KWA HILI BANGO LA MAPINDUZI YA ZANZIBAR CCM MMETELEZA ...YATAKIWA MUOMBE RADHI
HII NDO KAULI YA ZITTO KABWE
Siasa
za. Hatari sana hizi. Siasa za kibaguzi. Siasa zinazopaswa kulaaniwa na
kila mpinga ubaguzi nchini. Nitashangaa sana kama wakubwa CCM hamtaomba
radhi kwa siasa hizi hizi mbaya kabisa. What will be the stop?
No comments:
Post a Comment