Mbali
na ukweli kuwa Wema Sepetu na Idris Sultan ni marafiki tangu zamani,
hali imekuwa tofauti kwa hivi sasa ambapo baadhi ya mashabikibi wamekuwa
wakiutilia shaka ukaribu wao wakidai kuwa umevuka mipaka na kuwahisi
kuwa ni wapenzi.
Mbali na madai kuwa Idris amekuwa akiweka kambi nyumbani kwa wema, Posti
za Wema Sepetu kwenye mtandao wa Instagram juu ya Sultan zimekuwa ni
moja ya sababu kubwa ya baadhi ya watu kuamni juu ya tetesi hizo za
wawili hao kutoka kimapenzi.
Hadi sasa sio Idris au Wema aliyejitokeza na kuthibitisha kuwa wapo kwenye muhusiano.
Hizi ni baadhi ya posti linazo- trend instagram.
No comments:
Post a Comment