14 January 2016

DK. SHEIN AMWAPISHA MKUU WA WIALAYA YA WETEwe1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw. Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,kabla ya uteuzi huo Mkuu huyo  alikuwa Afisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu]
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname