09 January 2016

DIAMOND PLATINUMS MAMBO MAZITO,AFANYIWA KAMA WEMA.ATIMULIWA KWENYE NYUMBA YAKE YENYE STUDIO

SIKU chache baada ya muigizaji kiwango Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kutimuliwa katika nyumba aliyokuwa amepanga maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam kwa kosa la kutolipa bili ya umeme na maji, Jumatano hii, zilipendwa wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ naye alikutana na kimbembe kama hicho kutoka kwa mmiliki wa nyumba aliyokuwa akiitumia  
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname