10 January 2016

BREAKING NEWS : WALIOKAIDI AMRI YA RAIS MAGUFULI BADO WANAISOMA NAMBA,HAKIJAELEWEKA SIRI NZITO YATANDA

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), imesema mchakato wa kinidhamu unaendelea dhidi ya watumishi wake ambao walisimamishwa kazi kwa kukaidi agizo la Rais John Magufuli la kutosafiri nje ya nchi.
Jana Nipashe ilifanya mahojiano kwa njia ya simu na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola, kuhusiana na hatma ya wafanyakazi hao, ambapo alieleza   


BOFYA HAPA KUSOMA ZAID

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname