13 January 2016

BREAKING NEWS : TIMUA TIMUA YA MAWAZIRI WA RAIS MAGUFULI YAWA GUMZO,WENGI WATOA KAULI


Wasomi nchini wamekosoa hatua ya baadhi ya mawaziri kuwasimamisha kazi watendaji wa Serikali kutokana na sababu mbalimbali wakisema si dawa ya kurejesha utumishi uliotukuka bali kinachotakiwa ni kuweka mfumo imara wa utawala. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname