Waliosema Ufisadi ni Mfumo ndio wanasema leo Prof. Muhongo hafai kuwa Waziri sababu ya Tegeta Escrow. Sijui lini mahakama ilimhukumu Muhongo! Sijui lini Muhongo kawa Mfumo. Tujifunze kuweka akiba.Prof. Sospeter Muhongo alikuwa Waziri wa Nishati na Madini wakati wa sakata la TegetaEscrow.
No comments:
Post a Comment