Malkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaifunga JKU Kwa 38– 25 Katika Mchezo wa Mwisho wa Michuano hiyo Iliofanyika Uwanja wa Gmykhana Zanzibar.
Mchezaji
wa Timu ya JKU Rose Israel (WA) na Uhamiaji Sofia Komba (C) wakiwania
mpira wakasti wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano iliofanyika katika
uwanja wa Gmykhana Zanzibar Timu ya Uhamiaji imeshinda kwa mabao 38–25.
No comments:
Post a Comment