18 December 2015

BREAKING NEWS : BAADA YA MAGUFULI KUNYIMWA MSAADA NA MAREKANI ,FREEMAN MBOWE AIBUKA NA KUTOA TAMKO KALI,

Muda mfupi baada ya Bodi ya MCC kutoa taarifa inayoonesha Tanzania haitapata msaada kutoka shirika hilo kama ilivyotarajiwa kwa ajili ya mwaka 2016, Mwenyekiti wa Chama (T), Freema Mbowe ametoa kauli nzito juu ya suala hilo akisema kuwa kuchelewa kupatikana kwa fedha za MCC si tu kunachafua jina la nchi na hadhi yake katika medani za kimataifa, bali kutaathiri kwa kiasi kikubwa miradi yote iliyo chini ya ufadhili wa MCC.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname