13 November 2015

KISA SIASA, WOLPER AWEKA PEMBENI UIGIZAJI

‘Mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper.
Na Brighton Masalu Habari ikufikie kuwa ‘mtoto mtamu’ anayesumbua katika tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Massawe ameweka pembeni masuala ya uigizaji kwa muda usiojulikana kwa kile alichodai ni kujipa muda wa kupumzika na kujikita zaidi kwenye mambo ya siasa. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname