25 September 2015

RAIS KIKWETE ASEMA HASHANGAI MAGUFULI KUIPONDA SERIKALI YAKE


RAIS Jakaya Kikwete, amesema hamshangai mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk.John Magufuli kwa kukosoa utendaji kazi wa Serikali yake katika mikutano yake ya kampeni inayoendelea.
Rais Kikwete, alitoa kauli hiyo juzi, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya NDI yenye uhusiano na Chama cha Democratic, IRI yenye uhusiano na Chama cha Republican, IFES na United States Institute of Peace (USIP) mjini Washington nchini Marekani. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname