27 August 2015

WEMA SEPETU Amtafuta Shetani Tena!


Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu.Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu, anadaiwa kutafuta shetani mwingine wa ugomvi baada ya ‘kumalizana’ na Aunt Ezekiel Grayson na kuanzisha ushosti na mwigizaji, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’, jambo ambalo linawapa wasiwasi mashabiki wao kutokana na dhana iliyojengeka kuwa mrembo huyo (Wema), hawezi kudumu na rafiki kwa kipindi kirefu. 

BOFYA HAPA KUSOMA YOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname