MSANII wa kizazi kipya, Snura Mushi, ameweka wazi kwamba kama kazi za
sanaa anazofanya hazitomwendea vema atarudi katika kazi yake ya ususi.
Snura alisema kazi hiyo anaimudu na kama hasingekuwa msanii angeitumikia hadi leo kwa kuwa haikuwahi kumwangusha kiuchum“Nilikuwa msusi mzuri kiasi kwamba sikukosa wateja lakini kutokana na
majukumu kunizidi katika sanaa ya muziki na maigizo nimeamua kuikacha
kwa sasa lakini ipo siku nitairudia,” alisema.
Snura kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Najidabua’ aliouachia hivi
karibuni, lakini pia aliwika na wimbo wake wa ‘Majanga’ na ‘Ushaharibu
No comments:
Post a Comment