Nape
anasema Lowassa amejivua nguo...najiuliza alitegemea aendelee kuvaa
nguo chafu? vazi la kijani alionyeshi uchafu na ndiyo maana upendelewa
na Mafisadi. Ilikuwa ni jambo muhimu kwa Lowassa kuueleza umma juu ya
Richmond na sasa tumejua. CCM na menejiment yake inawajibika kutoa
maelezo ni wapi fedha za umma zilipelekwa. Tunamshukuru Mh. Lowassa
kwani aliwajibika kwa mujibu wa sheria kuinusuru serikali na sasa ni
wazi kabisa ni mtu safi haswa anapoendelea kuchukua maamuzi magumu ya
kujiunga vema upinzani kuyakataa makabaila ndani ya CCM.
No comments:
Post a Comment