Baada ya Muendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya kimataifa ya uhalifu
(ICC) kusema kuwa wanaufuatilia kwa makini uchaguzi mkuu wa Tanzania
kuhakikisha hakuna haki za binadamu zitakazo kiukwa, Katibu wa Itikadi
na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema anadhani ni upuuzi kwa mahakama
hiyo kusema inaangalia uchaguzi kwani si kazi yao.
Amesema kama kweli wanafuatilia mambo hayo basi wafuatilie na nchi za Ulaya.
Chanzo: (ITV).
No comments:
Post a Comment