Taarifa niliyoisikia
kutoka kwa Mwenyekiti wa CHADEMA kuwa wameridhia KATIBU mkuu wetu Dr
Slaa, kupumzika kwa mda usio julikana. Kiukweli nimeumizwa na
kusikitishwa kwa uamuzi huo wa Dr Slaa hasa nikikumbuka taabu na mateso
aliyoyapata katika kukikuza na kukisimamia leo anaamua kuacha kwa namna
alivyo amua kufanya.Naomba nitumie fursa hii kumuomba
mh:Dr Slaa fikiri mara nne ni maumivu makali kiasi gani utakuwa
umeyasababisha kwa watanzania wenzako na hasa tunao kuunga mkono na
kutambua umuhimu wako na mchango wako ndani ya chama cha CHADEMA na
UKAWA kwa ujumla tafadhari nakuomba rejea kambini kwa masilahi ya chama
na Taifa.
No comments:
Post a Comment