14 August 2015

MAAJABU: BINTI WA MIAKA 11 APATA MTOTO ,KISA CHOTE HAPA

Paraguay ni moja ya nchi zinazopinga utoaji wa mimba na mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake inapokua hatarini.
Taarifa ya binti wa miaka 11 nchini humo kujifungua mtoto baada ya kubakwa na baba yake wa kambo imeingia kwenye headlines.
Mwanaseheria wa binti huyo Elizabeth Torales, amesema binti huyo alijifungua salama katika hospitali ya Red Cross hospital na sasa hali yake pamoja na ya mtoto wake inaendelea vizuri. 


BOFYA HAPA KUSOMA KISA CHOTE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname