03 August 2015

KAULI YA MNYIKA BAADA YA LOWASSA KUPENDEKEZWA KUWANIA URAIS KUPITIA CHADEMA


  Ikiwa ni siku Chache tangu lowassa ajiunge na chama cha chadema kumekuwepo uvumi kuwa MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amekiama chama chake kutokana na chama hicho kumkalibisha Lowassa na kumpa nafasi ya juu kabisa
Ukweli wa madai haya umethibitishwa leo hii baada ya Mnyika kuhudhulia katika mkutano wa kamati kuu (CC) ya chama cha demokrasia na maendeleo
Licha ya Lissu kutoa taarifa kuwa hakuna hali ya sitofahamu ndani ya chama icho ila bado watu wamekuwa wakivumisha mambo kuwa chama icho kimevurugika baada ya wanachama kutounga ujio wa aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa   


BOFYA KUSOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname