Katika
Mkutano wa Lowassa leo na Wanawake wa Chadema , Mwigizaji Jack Wolper
Alipewa Nafasi ya Kuongea Kuwawakilisha wasanii na Kusisitiza kuwa kwa
sasa jina lake ni Jack Lowassa Kama Alivyoandika kwenye ukurasa wake wa
Instagram siku kadhaa zilizopita...
No comments:
Post a Comment