01 August 2015

Kansa yamtesa baba Diamond

Diamond.jpgGladness mallya 
na erick evaristINASIKITISHA! Wakati mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiendelea vizuri baada ya matibabu nchini India, naye baba wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘Baba D’ anateswa na kansa ya ngozi huku mwanaye huyo akiwa hana habari naye.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname