01 August 2015

Dj Fetty atoa maneno mazito kwa BASATA kuhusu kumfungia Shilole kwa mwaka mmoja


Baada ya kuonyenya kitendo ambacho kilikuwa nje ya maadili ya kitanzania, BASATA wamemfungia shilole kitojihusisha na shughuli za sanaa kwa mwaka mmoja, Watu wengi wametoa maoni yao mmoja wao akiwa mtangazaji wa Clouds Fm Dj Fetty.
11800561_1027213640656017_1791591344878939757_n
Katika Mtandao wa Facebook Dj Fetty ameandika “Zilitoka mixtape za matusi za ANTI VIRUS vol 1 na 2, BASATA alikaa kimya na alitoa kibali cha uzinduzi wa Anti Virus vol 2, viwanja vya posta, licha ya kuwepo kwa malalamiko. SWALI ni kifungu kilichotumika kumhukumu ni kuwa UCHI au ni UVUNJAJI WA MAADILI?”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname