Leo
mwenyekiti wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba ameita waandishi wa habari
makao makuu ya chama hicho, Buguruni Dar es Salaam. Tuwe pamoja
kujulishana kitachojiri makuu ya chama, Buguruni baada ya muda si mrefu.
Sakaya:
Majadiliano yamechukua muda mrefu kuliko tulivyodhani, tunaomba radhi
kwa kuchelewa na tunaahirisha press conference ya leo.
No comments:
Post a Comment