Chama
cha ACT – Wazalendo kimewaonya chama cha Demokrasia na Maendeleo kuacha
kuwafanyia vurugu katika mikusanyiko yao pamoja na kushuka bedera za
chama hicho.
Hayo yameelezwa na Katibu Mipango na Mikakati Habibu
Mchange ambapo amedai kuwa chama cha Chadema kimevunja matawi baadhi ya
maeneo nchini hivyo na kuwatia hasara kubwa.

No comments:
Post a Comment