02 July 2015

Mchungaji Mwingira wa Kanisa EFATHA Atakiwa Kupima DNA ni Baada ya Madai ya Kumpa Mke wa Mtu Mimba

Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha Ministry, apimwe DNA kufuatia madai ya kumpa mimba mke wa mtu. 
-Alimpa mimba mwanamke aitwaye Philiss Nyimbi na kuzaa mtoto aliyeitwa Daudi Mwingira

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname