08 July 2015

KAJALA AMEPONA TATIZO LA UVIMBE KWENYE KIZAZI!


Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja. MIEZI michache baada ya Kajala Masanja kugundulika kuwa na ugonjwa wa uvimbe kwenye kizazi, meneja wa msanii huyo, Leah Richard amesema hivi sasa yupo sawa kufuatia upasuaji wa mafanikio aliofanyiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 
“Kajala kwa sasa yupo fiti na tatizo la uzazi limeisha, hivyo mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kabisa kwani atarejea kazini kuendelea kuwapa burudani,” alisema meneja huyo baada ya simu ya msanii huyo kukosekana hewani.   

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname