14 July 2015

JAMBAZI BAADA YA KUTOROKA JELA APIGA BATA NA '' KUJISIFIA NIKAMATENI KAMA MNAWEZA''.


El Chapo muuza madawa nguli baada ya kutoloka jela jumamosi asema FBI nikamateni kama mnaweza.Akiwa uraiani anabarizi na helikopta.
Akiwa na familia yake ankunywa bia hana habari.
Shimo alilotumia kutoloka na kutembea kwenye bomba mwendo wa kilomita moja na nusu.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname