
Ali
Kiba baada ya kuteuliwa mwakilishi kwenye kampeni ya kuzuia vifo vya
tembo WildAid amekuwa akikutana na mabalozi wakiwemo wa Marekani na
msanii mkubwa wa filamu marekani Lupita Nyongo pamoja na familia
yake.Katika maongezi ameonekana mtulivu wa nje na ndani ya nafsi ishara
tosha anakimudu kingereza.Huku akipunguza matabasamu mengi wakati wa
maongezi kama timu pinzani.
BONYEZA HAPA KUONA VIDEO ALI KIBA AKITEMA YAI BALAA
BONYEZA HAPA KUONA VIDEO ALI KIBA AKITEMA YAI BALAA
No comments:
Post a Comment