02 June 2015

SHILOLE AWAJIBU BASATA HIVI, KUTOKANA NA PICHA ZAKE CHAFU KUSAMBAA MTANDAONI

 shilole amesema haikuwa dhumuni lake kufanya hivyo bali ilitokea kwa bahati mbaya kutokana na nguo yake kutatuka wakati akiwa jukwaani..anawaomba radhi kwa tukio hilo lililo tokea kwa bahati mbaya pasipo yeye kutarajia

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname