Mara ya kwanza msichana huyu jina na picha yake viliingia kwenye Headlines baada ya kuonekana akisalimiana na Rais Kenyatta huku akitokwa machozi.. Kumbe ni RaisKenyatta aliyemwona msichana huyo akitokwa machozi huku akimpungia mkono.. akasimamisha msafara wake na kumsalimia msichana huyo.
Leo karudi tena kwenye headlines nyingine, kilio chake cha furaha kimesababisha awe mgeni kabisa ndani ya Ofisi ya Rais Kenyatta, Nairobi Kenya.
No comments:
Post a Comment