Shamsa Ford juzi usiku aliwaahidi mashabiki wake kumtaja mpenzi wake wasasa baada ya kutengana na mzazi mwenzake baba Terry.Leo amempost mpenzi wake mpya jamaa huyo ni raia wa ughaibuni akitumia kama lugha ya picha na kumaanisha baba Curtis.Dada cha usiku huyo mara kwa mara amekana uhusiani huo lakini amekua akirushiana maneno na mwanadada Siwema alieachika hivi karibuni.Pia amekua akizurura na dada wa msanii huyo wakionekana mawifi walioshibana.
No comments:
Post a Comment