Ommy Dimpoz kampost Ali Kiba Instagram watu wakatukana, baadae akapost hii video
Mwimbaji
Ommy Dimpoz wa bongofleva yamemfika hapaaa na ikapelekea aamue tu kutoa
ya moyoni mwake baada ya kupost picha ya tangazo la video mpya ya Ali
Kiba kuonyeshwa TRACE TV June 28 2015.
‘Sasa ndugu zangu tukipost kuhusu
Wasanii wenzetu mnatukana, tukikaa kimya tuna roho mbaya…. tufanyeje??
matusi tu hamjali kama watu wana wazazi unamtukania mzazi mwingine kafa,
lakini kwa taarifa yenu hainiumi ng’o‘ – Ommy Dimpoz
Mtazame hapa chini…
A video posted by Dimples Kwa pozzz (@ommydimpoz) on
Post iliyoyaleta yote haya ni hii hapa chini ambayo ilikua inawapa taarifa watu wajiandae kuipokea video mpya ya ‘chekecha‘ ya Ali Kiba kupitia TRACE TV.
No comments:
Post a Comment