10 July 2012

Angalia MKATABA ALIOSAINI CHEKA japokuwa ALOGOMA KUPIGANA.

2 comments:

  1. INAMAANA CHEKA HAJUI KUSOMA ALICHOKUWA ANASAINI AU NI NJAA TU

    ReplyDelete
  2. Kwa upande wangu nasimama upande wa Cheka, mkataba huu una mapungufu mengi tu na hivyo natia shaka kama kweli alisaini. Kwanza unaonesha bondia atatokea siku ya jpili tarehe 7/7/2012 wakati jpili haikua tarehe 7/7, bali ilikuwa tarehe 8/7/2012, pili sehemu ya sahihi inaonesha alitakiwa kuweka sahihi ya kuandika na sahihi ya Dole gumba lakini sehemu ya sahihi ya Dole ipo ya kuandika ambayo pia hatuna hakika kama ni yake kweli, tatu kuna sehemu shahidi wa promoter alitakiwa kuweka sahihi lakini haikusainiwa pia na hakuna hata alama ya Dole, kwa ufupi mkataba huu haukukamilika, hivyo Cheka yuko sawa tu kwa mtazamo wangu

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname