23 June 2015

MBUNGE MAARUFU MTATA WA CHADEMA MR. SUGU AMSHINDA MAMA WATOTO WAKE MAHAKAMANI

Mzazi mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Faiza Ally. Imelda Mtema MZAZI mwenzake na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Faiza Ally,
hivi karibuni katika tuzo za KTMA aliwaacha watu midomo wazi baada ya kutinga na kivazi kilichoacha sehemu kubwa ya makalio yake nje na kuzua minong’ono katika mitandao ya kijamii.


Faiza breaks the KTMA 2015 red carpet…this night. Just see



  • "SIELEWI JOSEPH AMESHINDAJE KESI- USHAHIDI WA PICHA PEKE YAKE SIONI KAMA UNATOSHA MIMI KUPOKONYA MTOTO WANGU- MTOTO WANGU NI MDOGO SANA ANANIHITAJI SANA - NA SITA RUDI HATA IKIBIDI KUUZA KILA NILICHO NACHO KWA AJILI YA KUSIMAMIA HILI- SIJAPEWA NAFASI NIMEPELEKWA MAHAKAMANI IJUMAA NA LEO JUMANNE NIMEPEWA HUKUMU/ MWANANGU ACHUKULIWE..... HAPANA ! SITARUDI NYUMA NA HAITAKUA RAHISI NINAKATA RUFAA NA KUTAFUTA WAKILI WA KUNISIMAMIA HILI- MWANANGU ANASOMA VIZURI ANAISHI VIZURI NA NAAMINI KWENYE MIKONO YANGU YUKO SALAMA ZAIDI YA KOKOTE/ YAANI KUHUSU KUKOSA KUKAA NA MWANANGU NI BORA KUFA KULIKO KUISHI NIKIMUONA SASHA ANA LELEWA NA MAMA MWINGINE IKIWA MIMI MAMA YAKE NIKO HAI NA MAKINI KATIKA MALEZI YA MTOTO WANGU- NINA NDOTO NA MWANANGU NYINGI SANA - NAHITAJI KUISHI NAE YEYE NDIO KILA KITU KWENYE MAISHA YANGU/ NAMPENDA SANA MWANANGU NA SIJASHINDWA KUMLEA- NAONA UCHUNGU SANA KUPELEKEA MAHAKANI NA KUPOKONYWA MTOTO WANGU BILA SABABU ZA MSINGI . SITAOGOPA CHEO CHAKE CHA UBUNGE KAMWE- NTASIMAMA KAMA MAMA MWENYE HAKI KWA MTOTO WAKE ...������MUNGU NAOMBA NIELEKEZE.NISIMAMIA NA UNIHUKUMIE HUU UKATILI NINAO FANYIWA NA BABA SASHA ....."

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname