11 June 2015

LOWASSA USO KWA USO NA SAMWELI SITTA LEO LIVE



Leo tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa.
Namtakia heri katika harakati zake huku nikiamini
kwa dhati kwamba uhusiano wetu ndiyo msingi wa umoja na mshikamano ndani ya CCM na kwa taifa letu kwa siku zijazo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname