01 June 2015

Kisa Lowassa,Mzee Mengi alalamika kutukanwa, Aweka hadharani namba ya mbaya wake na Kuandika Ujumbe Huu


Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.

Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?

1 comment:

  1. huyu mengi ni msanii tu. kwa nini ni yeye tu anaelalamika kuhusu kuhujumiwa na watu wengine, lazima tujiulize maswali mengi sana juu yake.
    asitumie vyombo vya habari kujisalimisha eti kwa kuwa ana vyombo vya habari, tunaanza kuingiwa na wasiwasi juu ya mambo anayohusishwa nae kwani huenda yana ukweli na labda kwa kuwa wadau wanaomtia hatiani hawana media basi inakuwa ni vigumu kupambanua mbivu na mbichi, lakini anaonekana sio mtu safi na lazima tujiulize juu yake kwa nini anakutana na tuhuma nyingi na kukimbilia katika media zake ili tumuelewe yeye tu.
    He is man to watch .

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname