Binadamu
tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama
waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu..
Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila
kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu
katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa
katika kuokoa maisha yangu...
Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu yangu.
Nakumbuka
sana mlipojitoa kwa ajili yangu mlipojinyima kwa ajili yangu
mlipopigana kwa ajili yangu,mlivyofedheheka kwa ajili yangu yote hayo
nayakumbuka na namshukuruu mungu kwani naona kabisa mliletwa duniani kwa
sababu nyingi na moja ya sababu ilikuwa kuniokoa katika kipindi kigumu
katika maisha yangu.
No comments:
Post a Comment